Raia Wageni Wakamatwa Airport Wakitorosha Mamilion ya Fedha
ABIRIA wawili Raia wa Sudan Kusini na Syria jana wamekamatwa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) wakisafirisha fedha taslim dola 70,000 za Kimarekani sawa na shilingi milioni 156 za Kitanzania na paundi 3410 za…
