Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Raila Odinga Akataa Matokeo ya Uchaguzi – Video
ALIYEKUWA mgombea urais wa Kenya, kupitia wa Azimio la Umoja, Raila Odinga Raila, amekataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022, yaliyotangazwa jana na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya…
