Mwanamke afutwa kazi kwa kuuonyesha msafara wa Trump kidole cha kati
Mwanamke aliyepigwa picha akiuonyesha msafara wa rais Donald Trump ishara ya kidole cha kati ameripotiwa kufutwa kazi na kampuni iliomuajiri kufutia picha hiyo.
Picha hiyo ilisambazwa baada ya kupigwa mnamo tarehe 28 mwezi Oktoba mjini…
