Rais Duterte Kuwadondosha Mafisadi Kutoka Kwenye Helikopta Angani
RAIS Rodrigo Duterte wa Philippine ametishia kuwasaka mafisadi serikalini na kuwadondosha kutoka kwenye helikopta ikiwa angani, jambo ambalo amesema aliwahi kulifanya.
Akizungumza huko Camarines Sur kaskazini mwa Philippines juzi…
