Rais Lungu Ahitimisha Ziara Yake, Akataa Biashara ya Uswahiba
DAR ES SALAAM: Rais wa Zambia, Edgar Lungu amewataka watendaji wa nchi yake na Tanzania, kuweka siasa pembeni na kujikita kwenye biashara zitakazoinua uchumi wa nchi hizo mbili.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha…
