Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif, leo Ikulu jijini Dar.Rais Magufuli akizungumza na Maalim Seif.
Maalim Seif Sharif, Dkt.…
