Rais Magufuli Kufanya Mahojiano na Wanahabari Leo Ijumaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 04 Novemba, 2016 atafanya mahojiano ya kwanza na waandishi wa habari tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. Mahojiano haya yatarushwa moja kwa moja na vituo…
