Rais Magufuli Kumtunuku Mfungwa wa Gereza la Butimba
Dar es Salaam. Rais John Magufuli leo anawatunuku shahada za elimu ya juu wahitimu maalumu watatu kutoka Chuo Kikuu Huria (OUT), akiwamo mfungwa na mwenye ulemavu wa kusikia.
Wahitimu hao ambao ni miongoni mwa zaidi ya 4,000 wa chuo hicho…
