Rais Magufuli na Mkewe Wamtembelea Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli na Mkewe Mhe. Mama Janeth Magufuli wamemtembelea na kumpa pole Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ni kufuatia kifo cha Dada yake…
