Kushere Ubingwa wa AFCON, Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko ya Kitaifa
Rais wa Senegal, Macky Sall ametangaza kuwa leo Jumatatu Februari 7, 2022 ni mapumziko kitaifa ili watu washerehekee ushindi wa timu ya taifa ya Senegal baada ya kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2021.
Rais huyo ambae…
