Rais Trump Aondoka Ikulu na Mkewe Melania (Picha +Video)
RAIS Donald Trump ameondoka Ikulu ya Marekani leo Januari 20, 2021 akiwa na mkewe saa 2:12 asubuhi (Tanzania ilikuwa saa kumi jioni leo) ambapo alizungumza na waandishi wa habari akisema kuwa rais wa nchi hiyo ilikuwa ni 'heshima ya…
