Barua ya wazi kwa Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli
Rais John Pombe Magufuli.
TUNACHUKUA fursa hii ya kipekee kukupongeza Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa fursa aliyokupa Mwenyezi Mungu kuongoza taifa hili la Tanzania.
Tunapenda kukueleza mambo ambayo sisi wadau wa afya tunayaona…
