Usajili Wafanyika Kampeni ya Raise The Bar ya SBL
Mmoja kati ya wateja waliofika katika banda lililowekwa kwa ajili ya kuwaelekeza wenye mabaa namna ya kujisajili katika mpango wa kuyasaidia mabaa kunyanyuka unaojulikana kama Raise the Bar au Tunyanyuke Pamoja akipata maelekezo…
