Rais wa Sri Lanka Atoroka Nchi kwa Kutumia Ndege ya Jeshi, Ndugu Yake Atimkia Marekani
RAIS wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa (73) ametoroka nchi yake kwa kutumia ndege ya jeshi la nchi hiyo akiwa yeye mke wake pamoja na maafisa wawili wa Serikali.
Taarifa zinadai amekimbilia katika kisiwa cha Maldive kilichopo…
