Simba Yampa Mkono wa Kwaheri Mchezaji Wake Rally Bwalya
UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano ya kumuuza kiungo wao mshambuliaji raia wa Zambia Rally Bwalya kwa timu ambayo hawajaiweka wazi kutokana na matakwa ya kimkataba.
Taarifa rasmi iliyowekwa kwenye Simba App, imeeleza…
