Rama D ‘Mfalme’ wa R&B aliyeanzia kwenye soka
Rama D
Makala: Andrew Carlos
UKITAJIWA jina la Ramadhan Shaibu kisha ukaambiwa ni mfalme wa Muziki wa R&B nchini ni wazi utakataa hakuna msanii kama huyo, na ukiambiwa kuwa mara nyingi hutumia muda wake kuwa Brisbane, Australia na…
