Exclusive: Ramadhan Brothers Wafunguka Safari Yao Hadi Australia Got Talent, Rais Samia Kuwapongeza…
Watanzania Ibrahim Ramadhan na Fadi Ramadhan almaarufu Ramadhan Brothers, waliong'ara katika mashindano ya Australia’s Got Talent yaliyofanyika usiku wa Jumapili, Oktoba 16, 2022, wamefunguka mambo mengi kuhusu maisha yao ikiwemo jinsi…
