Ramar Odom: Nammisi Sana Rob Kardashian
HUKU penzi lake na mtoto mkali kutoka katika familia ya kishua, Khloe Kardashian likiwa limekufa moja kwa moja, hatimaye aliyekuwa mcheza kikapu wa La Lakers, Odom Lamar amefunguka kwamba anamkumbuka sana shemeji yake, Rob Kardashian.…
