Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Kifo cha Malkia Elizabeth wa II wa Uingereza
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchi ya Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi Septemba 8, 2022 katika visiwa vya Balmoral nchini Scotland alipokuwa anapatiwa matibabu.
…
