Zanzibar Yatwaa Tuzo Bab’Kubwa Tamasha la Filamu la Golden Globes 2019
FILAMU ya Bohemian Rhapsody inayohusu maisha ya muimbaji kinara wa bendi ya Queen ya Uingereza, Freddie Mercury, ambaye ni mzaliwa wa visiwani Zanzibar imenyakua tuzo mbili kubwa za tamasha la filamu la Golden Globes.…
