Mtangazaji Azam TV, Fatna Ramole Aliyekuwa Hajulikani Alipo kwa Saa 48, Apatikana
Saa kadhaa baada ya kuanza kusambaa kwa taarifa za kupotea kwa mtangazaji wa Runinga ya Azam TV, Fatna Ramole, ikidaiwa kwamba alikuwa hajulikani alipo kwa zaidi ya saa 48, hatimaye mwanadada huyo amepatikana akiwa kwenye moja ya…
