Ujio wa Ramsey Nouah; Mama Kanumba Kilio Upya!
BAADA ya staa wa Filamu za Ki-Nigeria (Nollywood), Ramsey Nouah kuzuru kaburini kwa aliyekuwa staa wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Kanumba kwa mara ya kwanza, imekuwa simanzi nzito tena kwa mama mzazi wa Kanumba, Flora Mtegoa…
