Aliyekuwa Askofu Mkuu Wa TAG Tanzania Afariki Dunia
Askofu Prof. Ranwell Mwenisongole alikuwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la City Christian Center (CCC) - TAG Upanga Jijini Dar es Salaam na alikuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa TAG Tanzania kwa Awamu ya Pili
Taarifa ya Kifo chake imetolewa…
