The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Raphael Daudi

Kiungo Mpya Yanga Mtambo wa Mabao

YANGA imelamba dume baada ya kukamilisha usajili wa kiungo mpya wa timu hiyo, Raphael Daud kutoka Mbeya City kwani rekodi zake zinaonyesha ni mtambo wa mabao kwa kuwa ni mtengenezaji pamoja na mfungaji mzuri. Yanga imekamilisha dili la…

Raphael Atua Kambini Yanga

KIUNGO mchezeshaji Raphael Daudi aliyekuwa akiichezea Mbeya City, sasa rasmi amemalizana na Yanga na jana alikuwa safarini kuelekea Morogoro ilipoweka kambi timu hiyo. Meneja Mkuu wa Yanga, Hafidh Saleh alisema alitarajia kumpokea…

Simba Wamfuata Kiungo Stars…

ILIBAKI kidogo kiungo anayewindwa na Yanga, Raphael Daudi asainishwe na Simba, baada ya viongozi wa timu hiyo ya Simba kumfuata Mwanza alipokuwa na kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, wikiendi iliyopita kwa nia ya kumpa mkataba.…