Mfanyabiashara wa Kenya Aliyepotea Tanzania, Mkewe Afunguka Mazito
MKE wa mfanyabiashara maarufu wa Kenya na msaidizi wa Mbunge Zitto Kabwe, Raphael Ongangi, ameendelea kupaza sauti akiomba msaada kwa mtu yeyote kusaidia alipo mume wake huyo ambaye aliripotiwa kuchukuliwa na watu wenye silaha tangu…
