Yanga Yatua Kwa Mghana Fundi wa Pasi
KAMA ulifikiri mabosi wa Yanga wamemaliza kusajili basi unajidanganya, kuna mtu anaitwa Rashid Nortey, raia wa Ghana, yupo kwenye rada za timu hiyo.
Nortey ni kiungo mchezeshaji anayekipiga Medeama FC inayoshiriki Ligi Kuu Ghana,…
