Watoto wa Kikwete, Nkamia Wang’ara na Medali za Gold Marekani
Watoto wa Kikwete, Nkamia na Rubeya wameng'ara katika mashindano ya Kimataifa na kuibuka na Medali za dhahabu nchini Marekani na kuiletea sifa kubwa Tanzania.
Ilikuwa katika mashindano ya wanafunzi wenye vipaji maalumu kutoka nchi…
