GLOBAL HABARI AUG 19: MAGARI YATEKETEA KWA MOTO KAGERA
MAGARI kadhaa yameteketea kwa moto leo baada ya lori la mafuta la kampuni ya Ratco kufeli breki na kugonga magari mengine kumi yaliyokuwa yanapakia pumba katika eneo la Rusumo mkoani Kagera.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustino…
