Sio Rayvanny Tu, Diamond, Harmonize Walidondoka Stejini
WIKENDI iliyopita kulikuwa na sherehe tamasha la Tumewasha na Tigo, lililokuwa limeandaliwa na Wasafi Media. Tamasha hilo lililofanyika katika uwanja wa uhuru, watu kibao walijaa huku wasanii lukuki wakiperfome.
Mbali na…
