Msanii wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Rayvanny Apr 6, 2021 ameachia video mpya ya wimbo wa Lala ambao amemshirikisha msanii wa muziki wa Bongo Fleva, JUX.
Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
Gazet la Ijumaa Wikienda linapatikana BURE kupitia App ya “Global APP” inayopatikana hapa
iOS 👉 …
DAR: Miezi kadhaa imepita tangu kusambaa kwa taarifa kuhusu staa wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ akidaiwa kutaka kujitoa kwenye lebo hiyo.
JINSI MAMBO YALIVYOKUWA…
STORI: GLADNESS MALLYA | RISASI MCHANGANYIKO | DAR ES SALAAM
STAA wa Bongo Fleva ambaye ni memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ inayomilikiwa na msanii mkubwa nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Raymond ‘Rayvanny’ amekataa ofa ya…
MAKALA: NA ANDREW CARLOS | IJUMAA |ShowBiz
NAJARIBU kumfikiria Aboubakar Shaban Katwila wengi wamezoea kumuita Q Chief ama Q Chillah kuanzia mwaka 2008 enzi hizo akilikamata vilivyo soko la Muziki wa Bongo Fleva sambamba na wakali…
Na Imelda Mtema | IJUMAA
Msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond ‘Rayvany’ amekuwa akitajwa kutoka kimapenzi na modo wao anayefahamika kwa jina la Faima na taarifa zikavuja kuwa ‘mtoto’ huyo mzuri sasa ana ‘kibendi’ chake.…