Mtangazaji Aporwa Simu kwa Bastola Hadharani
MTANGAZAJI wa televisheni wa kampuni ya DIRECTTV, Diego Ordinhola, nchini Ecuador, alijikuta akikingiwa bastola na mtu nje ya Uwanja wa Monumental huko Tarqui, Guayaquil, ambaye alimpora simu yake na kukimbia.
…
