Askari Auawa kwa Mshale Loliondo, Mkuu wa Mkoa Athibitisha(PICHA+VIDEO)
MKUU wa Mkoa wa Arusha John Mongela amethibitisha kuuawa kwa askari wa Jeshi la Polisi baada ya kupigwa mshale katika eneo la Loliondo wakati akiendelea kutekeleza majukumu yake ya ulinzi na usalama.
Aidha John Mongela…
