RC Kafulila Afunguka Sakata La Vita Vya Russia Na Ukraine | Hoja Kwa Hoja
Kipindi kipya kutoka Global Tv cha Hoja kwa Hoja, kimefanya mahojiano na David Kafulila, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
Amezungumzia hoja nyingi za msingi wakati akihojiwa na mwandishi Malick Mansoor. Mahojiano kamili tazama video hapo…
