Breaking News: RCO Ilala Afariki kwa Ajali – Pichaz
Mwanga. Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kugongana na gari jingine mkoani Kilimanjaro.
Waliofariki ni Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Aanael…
