Waziri wa Nishati Avunja Bodi ya REA
WAZIRI wa Nishati Dk Medard Kalemani leo (Novemba 12.2018) amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijiji REA kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma,…
