Mke wa Rais wa Ghana Kurejesha Mkwanja wa Marupurupu
MKE wa rais wa Ghana anataka kurejesha fedha za marupurupu anayopatiwa tangu rais aingie madarakani mwaka 2017, baada ya wananchi kulalamikia mshahara wake.
Vilevile Rebecca Akufo-Addo alisema hatakubali mshahara ambao…
