Meek Mill, Jay-Z Waanzisha Taasisi Kusaidia Wafungwa
MARAPA wawili wa Hip Hop wa Marekani, Jay Z na Meek Mill, wameanzisha taasisi ya kutoa msaada wa kisheria inayojulikana kwa jina la ‘Reform’ kwa Wamarekani weusi waliofungwa jela nchini Marekani, ambayo itakuwa inasimamiwa…
