SHIGONGO, MENEJA WA GLOBAL WALIVYOMUAGA DKT. MENGI
Viongozi wa Global Group leo walikuwa miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza kuuaga mwili wa Dkt. Reginald Mengi kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar.
Miongoni mwa viongozi hao ni Mkurugenzi Mtendaji wa Global…
