Tiba ya Dharura ya Corona Yapatikana, Marekani Yantangaza Dawa
MAMLAKA ya Dawa na Chakula (FDA) nchini Marekani imeidhinisha matumizi ya dharura ya dawa ya Ebola, remdesivir, ianze kutumika kutibu virusi vya corona.
Kufuatia hatua hiyo, dawa hiyo itaanza kutumiwa na watu walioathiriwa…
