Cardi B Avunja Rekodi Tuzo za Grammy Miaka ya 2000
RAPA wa kike, Belcalis Marlenis Almánzar, maarufu kama Cardi B amevunja rekodi ya kuwa mwanamuziki wa kike kupokea tuzo ya album bora ya rap kwa miaka ya elfu mbili, Februari 10 siku ya Jumapili katika ugawaji wa tuzo 61 za Grammy.…
