Minaj Aongelea Bifu na Remy Ma, Albamu Yake Mpya
BAADA ya kusubiri kwa miaka mitatu, rapper Nick Minaj ametangaza ujio wa albam yake mpya. Msanii huyo albam yake ya mwisho ilitoka mwaka 2014 kwa jina la The Pinkprint ambayo ilifanya vizuri kutokana na baadhi ya nyimbo zake alizobeba…
