Man United Yaungana na Chelsea katika Vita ya Kumsajili Winga wa AC Milan
KLABU za Manchester United pamoja na Chelsea zimeingia katika vita nzito ya kuwania Saini ya winga wa AC Milan na timu ya Taifa ya Ureno Rafael Leao.
Leao ambaye alikuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Italia Serie A msimu…
