Mwanaume Afunga Ndoa na Rice Cooker
MWANAUME mmoja nchini Indonesia, Khoirul Anam amefunga ndoa na Rice Cooker ili liwe ndo mke wake.
Ndoa hiyo imefungwa tarehe 20 septemba 2021 ambapo bwana harusi alivaa mavazi rasmi kwa ajili ya harusi hiyo na kupewa cheti cha ndoa kwa…
