Mwanamuziki Adele Akolewa na Penzi Jipya la Rich Paul, Ataka Watoto Zaidi
MWANAMUZIKI Adele raia wa Uingereza amesema anafikiria uwezekano wa kupata watoto zaidi kutokana na penzi analopata kutoka kwa mpenzi wake mpya Mmarekani Rich Paul.
Adele pia amesema katika maisha yake hajawahi kuwa na…
