Bongo muvi; Tuzo za Lulu, Rich ziwe somo kwenu!
Lulu akiwa amelala na tuzo yake.
KWENU mastaa wa Bongo Muvi. Nawasalimu kwa umoja wenu maana najua siwezi kuwataja majina mmojammoja, maana kwa jinsi mlivyo wengi, nikiwataja nitajaza ukurasa huu.
Vipi mnaendeleaje na hali? Kazi…
