Rich: Msichana Anaweza Kubadili Jamii
MSANII mkongwe katika filamu Bongo, Single Mtambalike ‘Rich’ yupo mbioni kuachia kazi yake ya Queen of Maasai mwanzoni mwa Septemba ambayo anaonyesha jinsi gani msichana anaweza kubadili maisha ya jamii yake.
Akizungumza na Over Ze…
