Imfikie Mobeto; Rick Ross Majanga Huko
WIKI kadhaa baada ya rapa wa kiwango cha dunia, Rick Ross kukiri kwamba ana koneksheni na mwanamitindo Hamisa Mobeto wa Tanzania, ametapata majanga.
Kwa mujibu wa nyaraka za kisheria zilizovuja kwa wadaku nchini Marekani,…
