Kikwete Aomboleza Msiba wa Mtoto wa Nyerere
MBUNGE wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete, amefika nyumbani kwa familia ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Msasani jijini Dar es Salaam kuhani msiba, kufuatia kifo cha Rosemary Nyerere aliyefariki…
