Tanzia: Mtangazaji Wasafi TV ‘Kungwi’ Afariki Dunia
MTANGAZAJI wa Wasafi TV, Fatma Abdallah maarufu kwa jina la Kungwi Mkata Shombo amefariki dunia leo Jumamosi, Agosti 15, 2020.
Fatma alijipatia umaarufu mkubwa kupitia kwenye kipindi cha masuala ya kijamii alichokuwa akikiendesha…
