Ripoti ya Haki za Binadamu, Roma, Lissu, Azory Gwanda Watajwa – VIDEO
Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Aprili 25, 2018 kimezindua ripoti maalum ya Haki za Binadamu ya mwaka 2017 juu ya matokeo na mapendekezo muhimu kutokana na mambo mbalimbali yanayolihusu Taifa na wananchi wake.…
